24.7 C
Dar es Salaam
Saturday, April 13, 2024

Contact us: [email protected]

Wijnaldum hana chake PSG

PARIS, Ufaransa

MATAJIRI wa Ligue 1, PSG, wamepanga kumtoa kwa mkopo kiungo waliyemchukua Liverpool, Georginio Wijnaldum.

Ni kama mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool amekwama pale PSG kwani katika mechi 20 alizocheza msimu huu, ni 10 alizoingia kikosi cha kwanza.

Mholanzi huyo mwenye umri wa miaka 31, atafunguliwa mlango wa kutokea mara tu usajili wa dirisha dogo utakapofunguliwa hapo Januari, mwakani.

Aidha, Wijnaldum ameonesha kuvutiwa na mpango wa kurejea England anakohusishwa na Arsenal na Newcastle United.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles