28.7 C
Dar es Salaam
Wednesday, January 19, 2022

Newcastle wamtolea macho Elneny

LONDON, England

MATAJIRI wapya Ligi Kuu ya England (EPL), Newcastle United, wanaitaka huduma ya ‘mido’ wa Arsenal raia wa Misri, Mohamed Elneny.

Kwa mujibu wa taarifa, Elneny ni sehemu ya wachezaji watano ambao Newcastle imepanga kuzinasa saini zao ifikapo Januari, mwakani.

Mkataba wake pale Emirates utakwisha mwishoni mwa msimu huu na inaelezwa kuwa Arsenal hawana mpango wa kuendelea naye.

 Mbali ya Mwarabu huyo, pia Newcastle inawataka Lloyd Kelly (Bournemouth), Joe Rodon (Tottenham), Sven Botman (Lille) , na Matthias Ginter (Borussia M’gladbach).

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
175,266FollowersFollow
531,000SubscribersSubscribe

Latest Articles