27.9 C
Dar es Salaam
Monday, June 24, 2024

Contact us: [email protected]

Benitez atibuana na mchezaji

MERSEYSIDE, England

IMEFICHUKA kuwa sababu ya beki wa Everton, Lucas Digne, kuikosa mechi dhidi ya Arsenal ni kukorofishana na kocha wake, Rafael Benitez.

Digne mwenye umri wa miaka 28, alisukumwa nje ya kikosi kilichoibuka na ushindi wa mabao 2-1, mchezo wa Ligi Kuu ambao Arsenal walikuwa ugenini.

Sasa, vyombo vya habari vya England vimeibuka na stori inayodai kuwa mlinzi wa kushoto huyo alitibuana na Ancelotti kuelekea mtanange huo.

Katika hatua nyingine, inaelezwa kuwa huenda kitendo hicho kikasababisha mabosi wa Everton kumpiga bei Digne ifikapo Januari, mwakani.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles