27.1 C
Dar es Salaam
Wednesday, June 12, 2024

Contact us: [email protected]

Arsenal wamtolea macho Richarlison

LONDON, England

WASHIKA Bunduki wameanza harakati za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Everton na timu ya taifa ya Brazil, Richarlison.

Mipango yao hiyo imelenga kujiandaa na maisha mapya endapo Pierre-Emerick Aubameyang na Alexandre Lacazette wataondoka kama inavyoripotiwa.

Richarlison alikuwa msumari wa moto kwa Arsenal wakati walipokutana na Everton, ambapo mabao yake mawili yalikataliwa kwa madai ya kuotea.

Wakati huo huo, Arsenal wana amini watakamilisha usajili wa winga wa Juventus na timu ya taifa ya Sweden, Dejan Kulusevski.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles