23.3 C
Dar es Salaam
Friday, April 26, 2024

Contact us: [email protected]

Washindi wa Chanja Kijanja na EXIM MASTERCARD waendelea kujinyakulia zawadi

Afisa Mwandamizi Huduma kwa wateja benki ya Exim, Farida Chambo  (kulia) akikabidhi zawadi ya simu kwa mmoja wa washindi wa wiki wa kampeni ya  ‘Chanja Kijanja na Exim  MasterCard’ ya benki hiyo, Krushant Buhecha wa jijini Dar es Salaam. Pamoja na zawadi nyingine washindi wa kampeni hiyo watajipatia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu za ada ya shule kwa mtoto pamoja na vifaa vyote vya shule sambamba na safari za kwenda Serengeti na  Zanzibar wakiwa na wenza wao huku kila kitu kikiwa kimelipiwa.

Meneja Mwandamizi wa benki ya Exim Zanzibar, Mwinyimkuu Ngalima (kulia) akikabidhi zawadi ya simu kwa mmoja wa washindi wa wiki wa kampeni ya  ‘Chanja Kijanja na Exim  MasterCard’ ya benki hiyo, Amani Makungu wa Zanzibar. Pamoja na zawadi nyingine washindi wa kampeni hiyo watajipatia zawadi mbalimbali ikiwemo pesa taslimu za ada ya shule kwa mtoto pamoja na vifaa vyote vya shule sambamba na safari za kwenda Serengeti na  Zanzibar wakiwa na wenza wao huku kila kitu kikiwa kimelipiwa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles