25 C
Dar es Salaam
Wednesday, April 24, 2024

Contact us: [email protected]

United, Spurs zamtaka Rudiger

MADRID, England

MANCHESTER United na Tottenham zimejitosa kuiwania saini ya beki wa Real Madrid, Antonio Rudiger.

Mkataba wa nyota huyo utakwisha mwishoni mwa msimu huu na tayari ameonesha nia ya kuondoka Stamford Bridge.

Ujio wa klabu mbili hizo kwenye mbio za kumtaka Rudiger unaweza kuwa habari mbaya kwa Real Madrid inayomfukuzia kwa muda mrefu sasa.

Katika hatua nyingine, Man United na Liverpool zimevamiwa na Atletico Madrid katika kuifukuzia huduma ya kinda wa umri wa miaka 18 anayekipiga FC Dallas, Ricardo Pepi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles