24.9 C
Dar es Salaam
Sunday, April 21, 2024

Contact us: [email protected]

Bellingham, Dybala kukutana Liverpool

MERSEYSIDE, England

LIVERPOOL inaongoza kwenye mbio za kuinasa saini ya kiungo wa Borussia Dortmund, Jude Bellingham.

Bellingham (18), amekuwa akihusishwa na klabu mbalimbali za England, ikiwamo Manchester City, aliyowahi kupita kabla ya kwenda Dortmund.

Wakati huo huo, Liverpool wanaendelea kuifukuzia saini ya mshambuliaji wa Juventus, Paulo Dybala.

Kwa mujibu wa taarifa, Liverpool inataka kuwanasa wawili hao ifikapo mwishoni mwa msimu huu.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles