23 C
Dar es Salaam
Wednesday, April 17, 2024

Contact us: [email protected]

UEFA, EUROPA na Conference Leaugue kuendelea wiki hii

Zifuate Odds Bora Kunako Meridianbet!

Baada ya mzunguko wa kwanza kwenye hatua za makundi, mashindano ya Ulaya kuendelea wiki hii. Ungwe ya pili hatua ya makundi kurindima viwanjani. Nani ni nani wiki hii.

Atalanta kuwaalika Manchester United jumanne hii. Baada ya kuandamwa na matokeo mabovu, United waliwalaza na viatu Spurs wikiendi iliyopita. Watafanya nini kwenye mchezo wa 2 kati ya 3 inayosemekana imebeba kibarua cha Ole Gunnar Solskjaer? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.39 kwa United.

Anfield kuunguruma jumatano usiku. Liverpool kurudiana na Atletico Madrid. Mchezo wa kwanza, Liverpool walishinda 3-2 pale Wanda Metropolitano, wataendeleza ubabe kwenye mchezo wa marudiano? Ifuate Odds ya 1.66 kwa Liverpool.

Kwenye Ligi ya Europa, AS Monaco kurudiana na PSV Eindhoven. Mzungo wa pili mara nyingi ni michezo ya kufa au kupona, dakika 90 kuamua nani anasonga mbele au kuanza safari ya kuyaaga mashindano. Shujaa wako yupo ndani ya Meridianbet. Odds ya 2.16 ipo kwa Monaco wiki hii.

Kunako Europa Conference League Alhamisi hii, Union Berlin watachuana na Feyernood katika mchezo wa 4 hatua ya makundi. Unaweza kutengeneza faida kupitia mchezo huu ukichagua kubashiri na Meridianbet wiki hii. Ifuate Odds ya 2.11 kwa Union Berlin.

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles