24.2 C
Dar es Salaam
Saturday, July 20, 2024

Contact us: [email protected]

Trey Songz agombanisha wasichana

Trey Songz
Trey Songz

NEW YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki wa RnB nchini Marekani, Tremaine Neverson ‘Trey Songz’, amegombanisha wasichana katika ‘party’ aliyoandaa kwa ajili ya marafiki zake.

Msanii huyo aliandaa sherehe hiyo huku akiwaalika rafiki zake wa karibu, lakini furaha ilibadilika baada ya warembo wawili kugombana kwa ajili ya msanii huyo.

Sherehe hiyo ilifanyikia kwenye nyumba yake eneo la kuogelea, hivyo warembo hao inadaiwa kwamba kila mmoja alimtambia mwenzake kwamba anampenda msanii huyo kuliko mwenzake.

Kupitia akaunti ya Instagram, Trey Songz aliiweka video ya warembo hao wakigombana na kudai kwamba wote ni rafiki zake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles