24.4 C
Dar es Salaam
Wednesday, June 19, 2024

Contact us: [email protected]

Paris Jackson: ‘Tattoo’ zina maana kubwa kwangu

Paris Jackson
Paris Jackson

NEW YORK, MAREKANI

MTOTO wa marehemu, Michael Jackson, Paris Jackson, amesema michoro ya ‘tattoo’ katika mwili wake ina maana kubwa kwake.

Mwanamitindo huyo juzi aliongeza mchoro mwingine mwilini mwake na kukamilisha jumla ya michoro 23.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, mrembo huyo alisema kwamba ataendelea kuchora mwili wake kutokana na kuamini kinachotokea katika maisha yake ya kila siku.

“Nimeongeza ‘tattoo’ ya 23, hizi zina maana kubwa sana kwangu kwa kuwa zinatokana na matukio ya maisha yangu na mambo mengine mbalimbali.

“Kila ‘tattoo’ nikiiangalia nayaona maisha yangu ya baadaye sioni giza mbele yangu, ninachokiona ni kule niendako na nilikotoka,” aliandika Paris.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles