28.2 C
Dar es Salaam
Sunday, July 21, 2024

Contact us: [email protected]

Nedy: Hakuna chipukizi anayenisumbua kimuziki

Nedy
Nedy

MSANII chipukizi anayekuja kwa kasi katika tasnia ya Bongo Fleva, Sai Seif Ally ‘Nedy’, amefunguka kuwa hakuna chipukizi anayemuumiza kichwa.

Nedy aliliambia MTANZANIA kwamba, anatambua kila msanii hutoka kwa kasi kubwa na hukubalika kwa mashabiki wake lakini kwake hakuna anayeweza kumtisha kisanii.

“Ninaiamini kazi yangu hivyo hakuna msanii atakayeniumiza kichwa katika tasnia yetu ya muziki,” alisema.

Msanii huyo aliye chini ya lebo ya ‘PKP’ kwa sasa anatamba na video yake inayojulikana ‘Usiende Mbali’ alioshirikiana na Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz’.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles