23.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, March 22, 2023

Contact us: [email protected]

Staa reggae afariki dunia

KINGSTON, Jamaica

LEJENDARI wa muziki wa reggae nchini Jamaica, Robbie Shakespeare, ameiaga dunia akiwa na umri wa miaka 68.

Shakespeare aliyekuwa mkali wa gitaa, ambapo alishinda tuzo mbili za Grammy, alifariki alipokuwa akiendelea na matibabu ya figo mjini Florida, Marekani.

Waziri wa Utamaduni wa Jamaica, Olivia Grange, amemtaja Shakespeare kuwa mmoja wa nembo za muziki zilizowahi kutokea katika Kisiwa hicho.

Katika miaka yake takribani 50 kwenye muziki, Shakespeare alishirikiana na mastaa wengi wa muziki, wakiwamo Madonna na Peter Tosh.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,020FollowersFollow
563,000SubscribersSubscribe

Latest Articles