26 C
Dar es Salaam
Saturday, February 4, 2023

Contact us: [email protected]

Romania ‘dampo’ takataka za Uingereza

LONDON, England

IMEBAINIKA kuwa Uingereza imeifanya Romania kuwa dampo kwa kutupa takataka zake kwenye nchi hiyo ya Kusini-Mashariki mwa Bara la Ulaya.

Ni katika uchunguzi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), ndipo ilipofichuliwa kuwa takataka zinazozalishwa Uingereza husafirishwa na kwenda kutupwa Romania.

Mamlaka za Romania zimekiri hilo zikisema takataka hizo huingia kwa meli zikiitwa ‘bidhaa zilizotumika’ na zimekuwa na faida kwao, hasa katika kujaza ardhi zenye mabonde.

Kwa Uingereza, hapo imeisaidia kupunguza gharama kubwa ambayo wangeitumia kuweka mazingira mazuri ya kuzihifadhi takataka hizo nchini kwao.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
208,471FollowersFollow
561,000SubscribersSubscribe

Latest Articles