Tima Sikilo, Dar es Salaam
Shabiki wa Simba, Ramadhan Mohammed (aliyeshika fimbo), aliyetembea kwa miguu kutoka mkoani Mbeya hadi Dar es Salaam kushuhudia mchezo wa Simba dhidi ya TP Mazembe.
Shabiki huyo ametumia siku tisa kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam na leo yuko katika Uwanja wa Taifa kushuhudia mchezo kati ya Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania dhidi ya Congo.