22.2 C
Dar es Salaam
Saturday, October 1, 2022

Rayvanny kuchora tattoo ya Paula

Juliana Samwely, TUDARCo

Msanii  kutoka lebo ya wasafi,   Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amesema ikitokea nafasi ya kuchora tattoo atachora ya  mpenzi wake Paula  Kajala.

Rayvanny atoa kauli hiyo wakati akifanya mahojiano na kipindi cha Big Sunday Live jana baada ya kuonekana amechora tattoo ya lebo yake mpya.

Sababu ya kumtaja Paula ni baada ya kuulizwa maswali hukuhu mzazi mwenzake Fayvanny na mpenzi wake wa sasa  kuwa nani  anampa nafasi kubwa.

Hata hivyo amesema hawezi kuchagua kuwa nani anamkubali zaidi  kutokana na heshima anayowapa wote.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,373FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles