28.7 C
Dar es Salaam
Friday, May 24, 2024

Contact us: [email protected]

RAIS WA CHINA ATAKA TEKNOLOJIA MPYA JESHINI

BEIJING, CHINA


xi-jinpingRAIS  wa China ameuambia mkutano mkuu wa maafisa wa vyeo vya juu jeshini kuwa lazima idara hiyo ifanye mabadiliko ili iweze kuendesha shughuli zake kwa mtindo wa kisasa.

Xi alisema kwa sasa jeshi linapaswa kuwa na watu wachache na silaha za kisasa kutokana na mabadiliko ya mara kwa mara ya teknolojia.

Alisema kwa wakati huu silaha za kisasa zilizo na teknolojia mpya ndizo zinazohitajika katika ushindi wowote wa kivita.

Mwaka uliopita, Xi alipunguza idadi ya wanajeshi nchini hapa kwa asilimia 13 kutoka wanajeshi milioni 2.3

Ingawa China haijapigana vitakwa miongo kadhaa, mataifa kadhaa jirani yana wasiwasi kutokana na wingi wa silaha zake.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles