RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna alipowasili katika ukumbi wa Ikulu
Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza akiwa na Ujumbe wake (kulia) mazungumzo hayo yamefanyika Desemba 10, 2020 (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.
Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna alipofika ikulu na Ujumbe wake (kulia) Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Wafanyabiashara, Filbert Mponzi na Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Alfred Shao, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kadi yake ya ATM na Afisa
Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.
Hussein Ali Mwinyi akiwa na Kadi yake ya ATM baada ya kukabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza mazungumzo yao.