28 C
Dar es Salaam
Friday, February 23, 2024

Contact us: [email protected]

Rais Dk. Mwinyi akutana na bosi wa NMB Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 
Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna alipowasili katika ukumbi wa Ikulu
Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kumpongeza akiwa na Ujumbe wake (kulia) mazungumzo hayo yamefanyika Desemba 10, 2020 (Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. 
Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna alipofika ikulu na Ujumbe wake (kulia) Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Wafanyabiashara, Filbert Mponzi na Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Alfred Shao, mazungumzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa kadi yake ya  ATM na Afisa 
Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza 
mazungumzo yao  yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. 
Hussein Ali Mwinyi akiwa na Kadi yake ya ATM baada ya kukabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu  wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, baada ya kumaliza mazungumzo yao.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles