33.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

R. Kelly ‘akimbiza’ kwa mauzo

LOS ANGELES, Marekani

MAUZO ya muziki wa R. Kelly yameongeza kwa asilimia zaidi ya 500 tangu staa huyo wa R&B alipokutwa na hatia katika kesi ya udhalilishaji wa kingono dhidi ya wanawake.

Kwa mujibu wa jarida la Rolling Stone, mauzo ya kazi za R. Kelly mwenye umri wa miaka 54 yamepanda kwa asilimia 517.

Msanii huyo mzaliwa wa Chicago, alikutwa na hatia Septemba 24, mwaka huu, na kama si miaka miaka 10 gerezani, basi atahukumiwa kifungo cha maisha.

Mei 4, mwakani, ndiyo siku ya hukumu yake na ndipo atakapoangukiwa na moja kati ya adhabu hizo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles