HomeAfya na Jamii Afya na JamiiKitaifa Picha| TACAIDS yakutanisha wadau kujadili Jukwaa la Kidigitali la ONGEA By Mtanzania Digital November 5, 2022 0 1415 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Jumanne Issango akifungua Warsha ya Vijana ya kujadili na kutengeneza jukwaa la Kidigitali la ONGEA. Kupitia Jukwaa hili Vijana watapata taarifa sahihi kuhusu Afya ya Uzazi, VVU na UKIMWI. Mratibu wa Program za UKIMWI Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dk. Pendo Saro akielezea malengo ya Warsha ya Vijana ya kujadili na kutengeneza Jukwaa la Kidigitali la ONGEA. Kupitia Jukwaa hili Vijana watapata taarifa sahihi kuhusu Afya ya Uzazi, VVU na UKIMWI. Warsha hiyo imefanyika jijini Dodoma kwa siku mbili Novemba 4 na 5, mwaka huu ambapo vijana kutoka asasi mbalimbali wameshiriki. Baadhi ya washiriki wakichangia Mada kwenye Warsha ya Vijana ya kujadili na kutengeneza jukwaa la Kidigitali la ONGEA. Kupitia Jukwaa hili Vijana watapata taarifa sahihi kuhusu Afya ya Uzazi, VVU na UKIMWI. Warsha hiyo imefanyika jijini Dodoma kwa siku mbili Novemba 4 na 5, mwaka huu ambapo vijana kutoka asasi mbalimbali wameshiriki. Hamissa Selemani kutoka kitengo cha Ubunifu cha Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) akifundisha mada ya “Designing Process” kwa washiriki wa Warsha ya Vijana ya kujadili na kutengeneza jukwaa la Kidigitali la ONGEA. Kupitia Jukwaa hili Vijana watapata taarifa sahihi kuhusu Afya ya Uzazi, VVU na UKIMWI Washiriki wa Warsha ya Vijana wakijadili kwenye makundi namna bora ya kukutengeneza jukwaa la Kidigitali la ONGEA. Kupitia Jukwaa hili Vijana watapata taarifa sahihi kuhusu Afya ya Uzazi, VVU na UKIMWI. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleOdds Bomba za Meridianbet Wikiendi Hii.Next articleNdalichako: Wekeni programu za kuwalinda wafanyakazi dhidi ya magonjwa Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Biashara na Uchumi BoT yazifungia ‘App’ 69 zinazotoa mikopo mtandaoni Kitaifa Dk Biteko ainadi CCM Mara Kimataifa Nyerere’s Footsteps, Samia Urges G20 to Rethink Global Economic Systems LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow591,000SubscribersSubscribe Latest Articles Biashara na Uchumi BoT yazifungia ‘App’ 69 zinazotoa mikopo mtandaoni Kitaifa Dk Biteko ainadi CCM Mara Kimataifa Nyerere’s Footsteps, Samia Urges G20 to Rethink Global Economic Systems Kilimo Serikali yaonya wanaochezea sekta ya mkonge, yasisitiza uwekezaji mkubwa Uncategorized Serikali kuendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji, yawaita wawekezaji zaidi kwenye madini Load more