HomeBiashara na Uchumi Biashara na UchumiKitaifa Picha: Balozi Mulamula atembelea banda la WHI Sabasaba By Mtanzania Digital July 5, 2022 0 957 FacebookTwitterPinterestWhatsApp Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Liberata Mulamula amefanikiwa kutembelea Banda la Watumishi Housing Investments lililopo katika viwanja vya sabasaba ndani ya ukumbi wa Karume na kupatiwa maelezo ya kina juu ya upatikanaji wa Nyumba Bora kwa Bei nafuu kwa watumishi wa umma, wafanyakazi wa sekta binafsi, wafanyabiashara na wanachama wote wa mifuko ya hifadhi ya jamii. Mkurugenzi Mtendaji wa Watumishi Housing Investments (WHI), Dk. Fred Msemwa, akisikiliza na kuhudumia wateja wanaoendelea kutembelea banda letu katika maonesho ya 46 ya sabasaba. Banda ka WHI lipo katika banda kubwa la Karume. Mtanzania unakaribisha kutembelea banda hilo kwa ajili ya kujipatia nyumba kwa bei nafuu. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleRais Mwinyi: Maonyesho ya Sabasaba yamedhihirisha utayari wa kufungua milango ya mataifa 22Next articleDk. Biteko atoa siku saba kwa wachimbaji kulipa madeni ya wananchi Bahi Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz/ Related Articles Biashara na Uchumi Kampuni ya CCCC kuimarisha ushirikiano na vyombo vya habari Kitaifa Rais Samia kuongoza Maadhimisho ya Miaka 25 ya TAWJA Arusha Kitaifa Wazawa Mkoa wa Kagera wahimizwa kuwekeza nyumbani LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow593,000SubscribersSubscribe Latest Articles Biashara na Uchumi Kampuni ya CCCC kuimarisha ushirikiano na vyombo vya habari Kitaifa Rais Samia kuongoza Maadhimisho ya Miaka 25 ya TAWJA Arusha Kitaifa Wazawa Mkoa wa Kagera wahimizwa kuwekeza nyumbani Kitaifa Viongozi wa dini Mkoa wa Kagera wafanya maombi maalum Kitaifa LATRA CCC wataka watoa huduma kuzingatia matakwa ya leseni zao Load more