28.7 C
Dar es Salaam
Thursday, February 22, 2024

Contact us: [email protected]

Nyota gofu ajipanga kivingine

Sharifa Mmasi,Mtanzania Digital 

MCHEZAJI nyota wa gofu hapa nchini, Seif Mcharo amesema yupo katika maandalizi ya nguvu tayari kwa kukabiliana na mashindano yoyote mbele yake ili  kufanya vizuri.

Akizungumza na Mtanzania Digital jana, Mcharo amesema kuwa  ili mchezaji afanye vema kwenye michuano anapaswa kujiandaa muda mrefu ndiyo sababu  ameamua kutumia muda mwingi uwanjani kujifua.

” Kwa sasa sina ratiba ya mashindano yoyote yale lakini binafsi bado naendelea na mazoezi ya kila siku lengo ni kujifua na kujiweka tayari na lolote.

” Mchezo wa gofu unahitaji mchezaji awe fiti muda wote ndio maana naituma mazoezini ili yakitokea mashindano ili niibuke kidedea,” amesema Mcharo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles