24.4 C
Dar es Salaam
Tuesday, April 23, 2024

Contact us: [email protected]

NMB yahamasisha mazoezi Mtwara

MKUU wa Wilaya ya Mtwara Dustan Kyobya (Katikati), Afisa Mkuu wa fedha wa benki ya NMB,Juma Kimori(Kulia) na Meneja wa benki hiyo Kanda ya Kusini Janeth Shango,wakiwaongoza wafanyakazi na wateja wa NMB kanda ya kusini kufanya mazoezi katika uwanja wa Nangwanda mkoani Mtwara,wikendi hii.
Kutoka Kulia Mkuu wa wilaya ya Mtwara Dustan Kyobya, Meneja wa NMB Kanda ya Kusini Janeth Shango, Katibu tawala wa wilaya ya Mtwara,Thomas Salala na mmoja wa wateja wa Benki ya NMB wakifanya mazoezi ya mwili yaliyoandaaliwa na benki hiyo mkoani Mtwara.
Afisa Mkuu wa fedha wa NMB, Juma Kimori, kulia,akiwa na Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Dustan Kyobya mwenye Kofia pamoja na Meneja wa NMB Kanda ya kusini Janeth Shango mwenye kitambaa kichwani wakiwaongoza wateja wa benki hiyo kufanya mazoezi ya mwili katika uwanja wa Nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara Mazoezi yaliyofanyika mwishoni mwa wiki 
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles