27.7 C
Dar es Salaam
Wednesday, February 21, 2024

Contact us: [email protected]

Ni wiki ya kutengeneza faida kupitia NBA na Ligi ya mabingwa

Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote!

Hii ni wiki ya washindi kama ukiichagua Meridiabet. Odds Bora na machaguo kedekede yanapatikana huku! Zaidi ya michezo 100 kuchezwa wiki hii, hii ni fursa ya kutengeneza mamilioni ya pesa. Kubwa zaidi, ni muendelezo wa Ligi ya Mabingwa ikiwa ni sambamba na kuanza kwa msimu mpya wa NBA, 2021/22. Mchongo upo hivi;

Atletico Madrid watawaalika Liverpool katika dimba la Wanda Metropolitano jumanne hii. Mabingwa watetezi wa LaLiga vs timu iliyo kwenye ubora wake ndani ya EPL msimu huu. Huku Mo Salah, kule Luis Suarez, hataposhi! Mdhamini shujaa wako kwenye mchezo huu wa Ligi ya Mabingwa ukiwa na Meridianbet. Ifuate Odds ya 2.25 kwa Liverpool.

Burudani ya wapenzi wa mchezo wa kikapu itadhihirika usiku wa kuamkia Jumatano! Ni NBA 2021/22 ndani ya viwanja mbalimbali. Msimu mpya wa NBA utakatwa utepe kwa michezo miwili ya kukata na shoka. Mabingwa watetezi wa NBA – Milwaukee Bucks kuanza safari ya kutetea ubingwa dhidi ya Brooklyn Nets. Nets ikiwa inamkosa Kyrie Irving, inakwenda kuchuana na Giannis Antentokoumpo wa Bucks. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.81 kwa Bucks.

Pale Staple Centre, LA Lakers kuwaalika wapinzani wao wa muda mrefu – Golden State Warriors. Ni LeBron James vs Stephen Curry, huu upinzani umeendelea kuwa mkubwa kila msimu. 2021/22 nani ataanza kwa kuwa kinara wa mwingine? Upinzani wa kikapu katika ubora wake, ifuate Odds ya 1.52 kwa Lakers jumanne hii.

Jumatano hii, Manchester United watawakaribisha Atalanta katika muendelezo wa mashindano ya Uefa. United anarejea Old Trafford akiwa ametoka kupoteza mchezo kwa kipigo kikubwa dhidi ya Leicester City. Atalanta anasafiri mpaka Uingereza akiwa ametoka kushinda mchezo wa mwisho kwenye Serie A. Nani ni nani, baada ya dakika 90? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.76 kwa United.

Baada ya kuwagaraza Inter Milan, Lazio kuwaalika Olympique Marseille katika muendelezo wa Ligi ya Europa Alhamisi hii. Shujaa wako atakuwa nani pale Stadio Olimpico? Hii hapa Odds ya 1.82 kwa Lazio. Hii ndio nyumba ya ushindi, Meridianbet!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles