26.9 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 21, 2024

Contact us: [email protected]

Moyes kumchukua Rugani

LONDON, England

MAJERAHA ya Kurt Zouma na Angelo Ogbonna yatamlazimisha kocha wa West Ham, David Moyes, kusaka beki wa kati wakati wa usajili wa Januari, mwakani.

Katika kujaribu kuziba pengo la wawili hao, Moyes ametupa jicho lake kwa mlinzi wa Juventus na timu ya taifa ya Italia, Daniele Rugani.

Juve wamekuwa wakimtoa kwa mkopo nyota huyo mwenye umri wa miaka 27, ambapo kwa mwaka jana aliitumikia Cagliari kwa miezi sita.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles