24.9 C
Dar es Salaam
Sunday, April 21, 2024

Contact us: [email protected]

Mkwanja Wako Upo Kwenye Ligi Kuu India, Tazama Odds za ushindi!

Mchaka mchaka wa Ligi Kuu India unasonga taaratibu na kuwaburudisha wapenzi wa kriketi duniani. Wakati ukipata fursa ya kufurahia radha ya mchezo wa kriketi, Meridianbet wanakupa nafasi ya kufurahia zaidi kwa kuvuna pesa kiganjani mwako. Tazama gemu hizi za kriketi wiki hii na odds zake.

Punjab Kings wanasaka kujiondoa kwenye hatari pale wanapotafuta pointi za kuwasogeza juu ya msimamo wa ligi wanapokutana na Rajasthan Royals kule Dubai Jumanne hii. Meridianbet wamekupa uwanja wa kuchagua uchague aina gani ya bashiri kabla gemu haijaanza, na wakati mchezo unaendelea, tazama odds zao hapa.

Jumatano Delhi Capitals watahitaji kuupata ushindi dhidi ya Sunrisers Hyderabad ili waweze kuwa vinara wa Ligi huku wakimwombea njaa Chennai Super Kings ambao wanafanana pointi kwa sasa. Odds za ushindi hapa zinampa ushindi Delhi kwa odds 1.65 wakati Sunrisers wakipewa 2.20.

Katika mechi ya 34 ya Ligi kuu kati Mumbai Indians na Kolkata Knight Riders Alhamisi wiki hii, wakiwa wanapishana pointi mbili tu kwenye msimamo wa ligi,  Kolkata Knight Riders atakuwa anatarajia kuondoa gepu la pointi mbili dhidi ya mwenyeji wake mwenye pointi 10. Odds za ushindi zinampa nafuu Mumbai kwa odds 1.66 na Kolkata Knights 2.18.

Ijumaa, vinara wa ligi Chennai Super Kings wanakuwa wageni wa Royal Challengers Bangalore ambaye yupo nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi. Mchezo huu utakuwa mgumu wakati pande zote zikitarajia kufanya makubwa. Meridianbet hapa wamekupa odds bomba mwenyeji kushinda kwa 2.09 na Chennai kushinda kwa odss 1.72.

Mechi hizi zote kwa pamoja zinakupa nafasi ya kupata ushindi mkubwa na Meridianbet. Unahitaji kuchagua aina ya ushindi unaotaka na kuweka jamvi lako kwa kuzingatia chaguo, au machaguo kadhaa yenye nafasi ya kukupa ushindi zaidi.

Unaweza kubashiri machaguo yote kwa kutembelea tovuti ya Meridianbet www.meridianbet.co.tz au kupiga *149*10# kubashiri kwa kitochi, au kwa simu janja yako ikiwa hauna intaneti. Chagua ushindi na Ligi Kuu ya India, tia jamvi HAPA!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles