30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, May 23, 2024

Contact us: [email protected]

Meridianbet ni Mdhamini wa Zaidi ya Vilabu 30 Duniani.

Tunaenda Sambamba na Jamii Yetu.

Licha ya kuwa miongoni mwa kampuni kubwa ya burudani kule Ulaya Kusini mashariki, Meridianbet imekuwa ikifanya kazi nzuri kwenye nchi za Umoja wa Ulaya, Amerika ya Kusini na Afrika kwa zaidi ya miaka 10, hii ikiwa ni pamoja na kusaidia vilabu.

Meridianbet ni mshirika wa michezo ya kubashiri kwa zaidi ya vilabu 20 vya soka na kikapu sehemu mbalimbali duniani. Belgrade, Banja Luka, Podgorica, Munich, Valletta na Limassol, visiwa vya Canary, Dar es Salaam ni baadhi ya maeneo ambayo Meridianbet ni wadhamini wa vilabu vya michezo.

Kampuni hii imekua ikifanya kazi kule Malta kwa zaidi ya miaka 10 na, ni wadhamini wakuu wa FC Valletta, klabu ambayo imeshinda ubingwa mara 25 kwenye historia yake. Vivyo hivyo kwenye mchezo wa kikapu nchini Cyprus – Apollon Limassol. Pia, ushirikiano wa kimkakati ulisainiwa na klabu ya kikapu (kwa watu wenye ulemavu wa miguu), hii ni fursa ya kipekee ya kusaidia vyama vya michezo kwa watu wenye ulemavu.

Mashindano ya AfCon yaliyomalizika hivi karibuni, yameonesha uwezo mkubwa wa soka la Afrika na, Meridian imekua mdhamini wa vilabu vingi barani Afrika kwa miaka mingi. Vilabu hivyo ni kama FC AFCOM, Pan Africa na Costa do Sol.

Kusaidia vilabu sehemu mbalimbali duniani ni sehemu tu ya uwekezaji wa Meridianbet kwenye jamii. Kwa kushirikiana na vilabu na mashirikisho ya michezo kwenye nchi zote inazofanya kazi, kampuni hii inachangia vifaa vya michezo kwenye vilabu vidogo, vyama vya michezo na michezo mashuleni.

Hii Ndio Nyumba Ya Mabingwa, Meridianbet!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles