27 C
Dar es Salaam
Sunday, June 23, 2024

Contact us: [email protected]

Lingard sasa ni West Ham

LONDON, England

KLABU ya West Ham ndiyo inayotajwa kuwa mstari wa mbele katika kuiwania saini ya kiungo wa Manchester United waliyekuwa naye kwa mkopo msimu uliopita, Jesse Lingard.

Kwa mujibu wa taarifa, ‘mido’ huyo mwenye umri wa miaka 28 ataelekea West Ham mara tu dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa hapo Januari, mwakani.

Kila kitu juu ya dili hilo kimeshakamilika, ikiwamo Man United kukubali kupokea ofa ya Pauni milioni 10 ili kumwachia mchezaji wao huyo.

Inaelezwa kwamba kocha wa West Ham, David Moyes, ndiye anayewashinikiza mabosi wa klabu hiyo kuhakikisha wanainasa huduma ya Lingard.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles