Juma Nature kukutana na mkali wa ‘Duro’ Valentine

0
1218

TecnoJUMA nNA REBECCA LUZUNYA, MWANZA

MKALI wa wimbo wa Duro kutoka nchini Nigeria, Augustina Kelechi ‘Tecno’ pamoja na mkali wa Bongo Fleva, Juma Nature, wanatarajia kutoa burudani siku ya mkesha wa ‘Valentine’.

Onyesho hilo linalotarajiwa kufanyika katika ufukwe wa Jembe ni Jembe jijini Mwanza, litakuwa la pili kwa mkali huyo kutoka Nigeria, mara ya kwanza alitumbuiza katika ukumbi wa King Solomon, uliopo jijini Dar es Salaam, katika mkesha wa kuukaribisha mwaka huu.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here