24 C
Dar es Salaam
Thursday, July 25, 2024

Contact us: [email protected]

JPM ateta na Kikwete Ikulu

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM

RAIS Dk. John Magufuli, amekuwa  na   mazungumzo na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Ikulu  Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa na Ikulu    jana ilieleza kuwa baada ya mazungumzo yao, Rais Mstaafu Kikwete  alisema walikutana kwa utaratibu wa kawaida wa kusalimiana na kutakiana heri katika majukumu.

Alisema Rais Magufuli anafanya kazi nzuri na amemtaka aendelee hivyo hivyo.

“Nimekuja kumsalimia nakumtakia kila la heri, anafanya kazi nzuri, aendelee tu kuchapa kazi na sisi tupo kwa namna yoyote ya kumpa nguvu, tupo tayari kumsaidia,” alisema Kikwete.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles