26.5 C
Dar es Salaam
Sunday, July 21, 2024

Contact us: [email protected]

Jiachie beti bila Bando na Meridianbet-USSD!

Usijali endapo hauna Intaneti Piga *149*10# BURE!

Ushindi unaendelea ukibeti na Meridianbet USSD Piga *149*10# BURE kutengeneza mkeka wako usipokuwa na Intaneti mahali popote Tanzania. Nafasi nyingine ya kuendelea kufurahia odds nono za soka kiganjani mwako.

Jinsi ya Kujiunga na Meridianbet USSD!

Ni rahisi sana kujiunga na huduma hii ya USSD, cha kufanya ni kuwa na simu yako ya mkononi, haichagui aina ya simu ukiwa na kitochi inakubali na hata ukiwa na simu janja msisimko unaupata kama kawaida.

Kitu cha pili ni kupiga *149*10# kisha utachagua lugha, Kiingereza au Kiswahili, ukishachagua utaona umeletewa vigezo na masharti ya kukubali kubashiri ikiwa una zaidi ya miaka 18+ hairuhusiwi kubashiri ukiwa na chini ya miaka 18.

Baada ya hapo utabonyeza 90 kuendelea kwenye hatua inayofuata ambapo itakuletea machaguo ya mechi zilizopo zikiwa na odds kubwa nono kama unataka kujua mechi za masaa 24 zijazo, au mechi kubwa kwenye soka, au kama unataka kumtumia rafiki yako mualiko, kuangalia tiketi zako 5 za mwisho na kuangalia salio la akaunti yako kwenye waleti yako.

Tengeneza Mkeka wa Ushindi na Meridianbet USSD!

Ukimaliza kujiunga kazi inayobaki ni wewe kuonesha umwamba wako wa kubashiri na kitochi huku ukijipatia odds kubwa za soka

katika kila mechi unayoichagua na kuiweka kwenye mkeka wako.

Wakati huu ushabonyeza code ya ushindi ambayo ni *149*10# sasa utakupeleka kwenye uwanja wa kuonesha ufundi wako wa kubeti, na uwanja huo una machaguo yafuatayo:

1. Mechi za saa24 zijazo.

2. Top Football ikiwa ni mechi kubwa siku husika.

3. Kumtumia rafiki yako mualiko wa kujiunga na familia ya mabingwa Meridianbet.

4. Unaweza kuangalia tiketi zako 5 za mwisho

5. Ni kujua akaunti yako ina kiasi gani.

Njia rahisi ya kubashiri na kitochi (USSD)

Usisahau kwamba odds kubwa za soka unazipata Meridianbet hata ukiwa hauna bando la internet au ukiwa na kitochi.

Unaweza kuweka mkeka wako kwa kubonyeza namba moja ambayo inaonesha mechi za saa 24 zijazo na hapo utazikuta mechi kibao, utachagua timu na mechi unazozitaka wewe kila mechi na timu ina machaguo yake yenye odds kubwa na nono.

Ukimaliza unabonyeza 91 kuweka ubashiri au kama unahitaji kuongeza mechi zaidi utabonyeza 92.

Ukibonyeza 91 kuweka ubashiri wako utaweka kiwango/dau unalotaka kuweka kwenye beti yako kisha utathibitisha malipo na hapo utakuwa umefikia mwisho unasubiri mkeka wako ucheke.

Lakini pia kama umekosea ubashiri wako Meridianbet wanakupata nafasi ya kurudia ikiwa hujaweka dau na kuthibitisha malipo. dau la chini kabisa unaloweza kubeti ni TZS 250/= Ushindi upo kiganjani mwako fanya maamuzi sasa, Meridianbet ndio habari ya mjini hawana ubabaishaji.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles