Jack Mganza mbioni kuachia mpya

0
722

MWIMBAJI wa  Gospo nchini, Jack Mganza ambaye anaishi Afrika Kusini, ameweka wazi kuwa baada ya kimya cha muda mrefu yupo tayari kuachia kazi mpya zitakazopatikana katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

Akizungumza na Swaggaz jana, Mganza alisema :“Wapendwa wamekuwa na kiu ya kunisikiliza maana toka nilipotoa wimbo wangu Bomoa Bomoa na Mungu ni wa Rehema, nikakaa kimya, naamini watabarikiwa.”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here