25.2 C
Dar es Salaam
Monday, March 27, 2023

Contact us: [email protected]

Ben Pol awaanika wanaomyapia mchumba wake

SIRI imefichuka kuwa kuna wasanii wa Bongo Fleva ambao maara kwa mara wamekuwa wakimtongoza mchumba wa Ben Pol, Anerlisa Muigai ambaye ni raia wa Kenya kupitia ujumbe wa moja kwa moja (DM) kwenye mtandao wa Instagram.

Katika mahojiano aliyoyafanya Ben Pol na mtangazaji Zamaradi Mketemba wiki hii, staa huyo alisema: Wasanii huwa nawaona kwenye DM ya mchumba wangu kama Shetta, Harmonize, Khalighrap Jones, huwa naonaa ‘blue ticks’ pale wakimtumia meseji.”

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
211,213FollowersFollow
564,000SubscribersSubscribe

Latest Articles