24.2 C
Dar es Salaam
Saturday, July 20, 2024

Contact us: [email protected]

Ice Cube akataa kuchanjwa, akosa bil. 20/-

LOS ANGELES, Marekani

MWIGIZAJI ambaye pia ni rapa, Ice Cube, amekubali kuzikosa Dola milioni tisa (zaidi ya Sh bil. 20 za Tanzania) baada ya kukataa kucheza filamu aliyolazimishwa kupata chanjo ya Corona.

Cube mwenye umri wa miaka 52, alifuatwa na maprodyuza wa filamu hiyo ya vichekesho lakini walishindwana naye walipomwambia atachanjwa kabla ya kuingia ‘lokesheni’.

Filamu hiyo iitwayo ‘Oh Hell No’inatarajiwa kuanza kurekodiwa Hawaii mwanzoni mwa mwaka ujao, huku lokesheni ya kwanza ikiwa Hawaii, eneo ambalo asilimia 90 ya wakazi wake wenye umri kuanzia miaka 12 wameshachanjwa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles