24 C
Dar es Salaam
Thursday, July 25, 2024

Contact us: [email protected]

Honeyb ahamia Kiri record

HoneybNA HERIETH FAUSTINE

MSANII chipukizi katika muziki wa Bongo Fleva, Bhoke Joseph (Honeyb), yupo katika maandalizi ya wimbo wake mpya alioupa jina ‘Tushirikiane’.

Wimbo huo unatarajiwa kurekodiwa katika studio za Kiri zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, baada ya kuamua kuhamisha vionjo hadi studio hiyo akitokea studio za Master zilizopo Kimara jijini hapa.

“Nyimbo ninazoimba zipo katika mfumo wa dini lakini ukisikiliza kwa makini ndiyo utagundua ni dini kwa kuwa mahadhi ninayotumia ni ya dansi na huu wa ‘tushirikiane’ nitaurekodia katika studio bora za Kiri record naamini wasanii wengi maarufu wamepitia katika studio hizo,’’ alieleza Honeyb anayetamba na wimbo wa ‘Naipenda Tanzania’.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles