27.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, July 24, 2024

Contact us: [email protected]

Hitimisha mwezi Februari kibingwa ukiwa na Meridianbet.

Tumia Fursa ya Odds Kubwa Kutengeneza Mkeka Wako!!

Ligi Mbalimbali kuendelea Wikiendi hii. Hii ni fursa kwako mteja na mpenzi wa michezo ya kubashiri, kuweka mkeka wako kupitia Odds kubwa za Meridianbet!

Ijumaa hii kwenye Ligue 1 ni Rennes vs Nice. Meridianbet tunathamini uwezo wa timu hizi. Katika kukuhakikishia mteja unapata faida, tumekuwekea Odds ya 1.97 kwa Rennes.

Jumamosi hii kwenye La Liga ni Sevilla vs Barcelona. Baada ya kusuluhu kwenye ligi mchezo uliopita na Barca kufungwa kwenye Copa del Rey, wanakutana tena kwenye ligi wikiendi hii. Meridianbet tumekuweka Odds ya 2.33 kwa Barcelona.

Kwenye EPL ni Newcastle vs Wolves. Timu zote zinaonekana kupungua kasi msimu huu zikilinganishwa na msimu uliopita. Lakini kupitia Meridianbet, unaweza kuweka mkeka wako kwa Odds ya 2.30 waliyopewa Wolves.

Macho ya wengi yatakuwa pale Stamford Bridge Jumapili hii. Chelsea uso kwa uso na Man United. Ama hakika, Thomas Tuchel ndio anaanza kazi rasmi ndani ya EPL.

Chelsea ameibuka kidedea kwenye mchezo 1 kati ya 4 waliyocheza na United kwa siku za karibuni. Tuchel hajapoteza mchezo tangu amekabidhiwa mikoba ya Lampard. Itakuwaje Jumapili hii? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.30 kwa Chelsea.

Kwenye Bundesliga Jumapili hii ni Bayer Leverkusen vs Freiburg. Timu 2 zinazopambana kusalia kwenye nafasi 10 za juu kwenye msimamo wa Ligi hiyo. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.83 kwa Leverkusen kwenye mchezo huu.

Jumatatu kwenye EPL ni Everton vs Southampton. Huu ni mchezo ambao timu zote zinahitaji matokeo ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa EPL. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.25 kwa Everton.

Kule nchini Hispania kwenye La Liga ni vita kati ya Real Madrid vs Real Sociedad. Madrid ametoka kushinda mchezo wake wa kwanza kwenye Ligi ya Mabingwa, Sociedad ametoka kuyaaga mashindano ya Europa. Machungu vs motisha ya ushindi. Patawaka moto!! Meridianbet tumekusogezea Odds ya 1.95 kwa Madrid.

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

3 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles