22.5 C
Dar es Salaam
Sunday, July 21, 2024

Contact us: [email protected]

Hennesseyy kuachia The Beginning Agosti 5

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

STAA wa Bongo Fleva, Hennesseyy Hennesseyy, ameweka wazi kuwa tayari amekamilisha mipango ya kuachia albamu yake inayoitwa The Beginning itakayotoka mapema mwezi ujao.

Akizungumza na Mtanzania Digital Hennesseyy, amesema ndani ya The Beginning, mashabiki watapata ladha ya ngoma tofauti tofauti hivyo wakae tayari kuipokea itakapotoka Agosti 5, mwaka huu.

“Kila kitu kimekamilika nasubiri tarehe ifike ili niweze kutoa albamu hii ambayo italeta mapinduzi kwenye muziki wetu, nimejitahidi kuwapa ladha mbalimbali mashabiki naamini wataifurahia na ninaomba waendelee kunipa sapoti pindi nitakapoiachia kwenye mitandao yote ya kuuza na kusikiliza muziki,” amesema Hennesseyy ambaye ni bosi wa lebo ya Spacious Music.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles