22.5 C
Dar es Salaam
Sunday, July 21, 2024

Contact us: [email protected]

Gaucho atua kuungana na Twiga Stars

Na Jestina Zauya(TUDARCo), Mtanzania Digital

Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania, Twiga Stars, Mwanahamisi Omary maarufu ‘Gaucho’, amewasili leo Septemba 13, akitokea nchini Morocco kujiunga na kikosi  hicho kambini kujiandaa na michuano ya COSAFA 2021.Kwa sasa Gaucho anakipiga katika timu klabu ya Chabab Atlas inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake  Morocco iliyomsajili msimu huu  kutoka Simba Queens.

Pamoja na mechi za COSAFA, Twiga Stars inajiandaa na michezo ya kufuzu Kombe la Mataifa Afrika(AFCON) na Kombe la Dunia.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles