Dk. Migiro balozi mpya Uingereza

migiro Na Mwandishi Wetu, Dar Es salaam

RAIS Dk John Magufuli amemteua Dk Asha-Rose Migiro kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza.

Taarifa ya Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU Gerson Msigwa jana ilisema Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi, Peter Kalaghe ambaye amerudishwa nyumbani.

Taarifa hiyo iliongeza kuwa Dk Migiro ataapishwa leo Ikulu ndogo ya Chamwino Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here