26.8 C
Dar es Salaam
Monday, December 6, 2021

Coman afukuza wakala

MUNICH, Ujerumani

WINGA wa Bayern Munich, Kingsley Coman, ameachana na wakala wake, Pini Zahavi, na hatua hiyo imekuja baada ya kushindwa kumtafutia klabu Ligi Kuu England.

Inasemekana kuwa Coman alishamwambia Zahavi kwamba ni lazima ahakikishe anaondoka Bayern kupitia usajili uliopita, jambo ambalo wakala huyo alichemsha.

Mkataba wake utafikia ukomo Juni, 2023, lakini hadi nyota huyo raia wa Ufaransa hajakaa mezani na mabosi wa Bayern kuzungumzia ishu ya kuongeza mwingine.

Itakumbukwa kuwa kwa kipindi chote cha usajili uliopita, jina la Coman lilikuwa likitajwa kwenye klabu mbalimbali za Ulaya, zikiwamo Liverpool, Chelsea na Real Madrid.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
168,263FollowersFollow
527,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles