22.1 C
Dar es Salaam
Tuesday, July 23, 2024

Contact us: [email protected]

Blac Chyna: Siri zangu anazijua Amber Rose

amber-rose na blac-chynaNEW YORK, MAREKANI

MPENZI wa Rob Kardashian, Blac Chyna, ameweka wazi kwamba mambo yake yote ya siri anayajua rafiki yake wa karibu, Amber Rose, tofauti na mama yake.

Taarifa kutoka kwa familia ya Kardashian zinasema kwamba mrembo huyo kwa sasa ana ujauzito, lakini mrembo huyo amedai kushangazwa na taarifa hizo wakati siri zake nyingi anazijua Amber Rose.

“Hakuna ambaye anajua siri zangu kwa sasa kama ilivyo kwa rafiki yangu wa karibu Amber Rose, nikisikia taarifa zangu kutoka kwake nitaamini ila sio kwa mama yangu kwa kuwa mama niko naye mbali sana tofauti na Amber,” alisema Blac.

Blac na Rob wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni japokuwa familia ya Kardashian haiungi mkono jambo hilo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
589,000SubscribersSubscribe

Latest Articles