30.1 C
Dar es Salaam
Saturday, June 15, 2024

Contact us: [email protected]

Barca, Xavi dili wiki hii

CATALUNYA, Hispania

SIKU yoyote kuanzia leo, Barcelona watamtangaza Xavi kuwa kocha wao mpya baada ya kumfuta kazi Ronald Koeman.

Xavi, ambaye kwa sasa anainoa Al-Sadd ya Qatar, ambako ameshinda mechi 62 kati ya 90 alizokaa klabuni hapo.

Tayari kiungo huyo wa zamani wa Barca ameshaanza kuandaa mazingira ya kufufua makali ya klabu hiyo, ikiwamo kuwataka mabosi wamsajili ‘mido’ wa Manchester United, Paul Pogba.

Mbali ya Pogba, pia Xavi amependekeza usajili wa staa wa Borussia Dortmund, Erling Haaland, sambamba na kiungo wa RB Leipzig aliyekulia La Masia, Dani Olmo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles