27.9 C
Dar es Salaam
Thursday, March 28, 2024

Contact us: [email protected]

Baada ya kushinda Tsh Mil 26 Ataja Siri Kubwa Iliyojificha

Jisajili Meridianbet leo upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo uupendao ya kasino ya mtandaoni kuna Aviator, Poker, Titan Roulette na mingine mingi. Kujisajili bonyeza hapa https://a.meridianbet.co.tz/c/Hbumdh

Ilikuwa ni kama ndoto iliyootwa usiku na mara ghafla inageuka kweli, kutoka kulala maskini na kuamka Tajiri mwenye mamilioni ndani, hii sio hadithi ya soga ni simulizi ya kweli ya kijana aliyeweka mtaji wad au la Elfu 20 na kupata faida ya Tsh Mil 26.

Utajiuliza ilikuaje yakawezekana ni biashara gani aliifanya ikampatia faida kubwa kiasi hicho kwa muda mfupi, jibu ni Meridianbet wakali wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni walitimiza ndoto za kijana huyo aliyekataa kutajwa jina lake akihofia mizinga ya wat una usalama wake pia.

Kutoka ulimwengu wa odds kubwa Meridianbet Tanzania, mwamba ametambulishwa kama mshindi mkubwa wa kiasi cha Tsh 26,997,852/= (Milioni Ishirini na Sita Laki tisa na Elfu Tisini na Saba Mia Nane Hamsini na Mbili), huu ni ushindi mkubwa katika Maisha yake tangu aanze kubashiri na Meridianbet kama alivyosema.

“Tangu nimeanza kubashiri kupitia Meridianbet nilikuwa Napata kiwango cha kawaida lakini leo nadhani ilikuwa ni bahati kwangu, niliamua kuweka Tsh 20,840/= na timu zangu kumi, kila moja niliipa machaguo tofauti kwa kuwa Meridianbet wanatoa machaguo tofauti kwenye mechi moja” Mshindi wa Mil 26 TZS.

Ushindi huu ni kawaida sana kuupata Meridianbet kwa sababu kila siku washindi wapya wanashinda kwenye kasino ya mtandaoni na ubashiri wa soka, ukiweka odds kubwa unajiweka kwenye nafasi ya kushinda Zaidi, kwa sababu hata Mfalme huyu wa kubashiri soka alitengeneza mkeka wenye odds kubwa ya 1439 na akashinda.

Maisha ni rahisi kama tu utaichagua Meridianbet sehemu pekee inayokupa machaguo bora kila mechi, unaweza kuturbo/ Cash Out, odds kubwa na mengine kibao, lakini bila kusahau kuna Jackpoti kubwa kabisa ya Tsh Mil 85,000,000/= kwa timu 13, endapo ikatokea umechana tiketi yako kwa timu moja au mbili unalipwa kuanzia 500,000/= TZS-10,000,000/= TZS PIGA *149*10#

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
585,000SubscribersSubscribe

Latest Articles