30.5 C
Dar es Salaam
Monday, December 6, 2021

Aliyemuua kaka yake Savage jela miaka 10

NEW YOKR, Marekani

HATIMAYE yule mshikaji aliyemuua kwa kumchoma kisu kaka wa rapa 21 Savage amehukumiwa kifungo cha miaka kifungo cha miaka 10.

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mail, Tyrece Fuller mwenye umri wa miaka 22 ameshukiwa na rungu hilo baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya kumuua Terrell Davis-Emmons katika tukio la mwishoni mwa mwaka jana nchini Uingereza.

Kile kilichoelezwa mahakamani ni kwamba siku ya tukio Davis-Edmonds alikuwa na bibi yake kwenye matembezi, kabla ya Fuller kumvamia na kumchoma kisu.

Hata hivyo, Fuller hakuhukumiwa kabla ya kupewa nafasi ya kujitetea, ambapo alisema Davis-Edmonds alimtishia maisha kwa kuwa alikuwa akimdai Pauni 800.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
168,263FollowersFollow
527,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles