25.6 C
Dar es Salaam
Monday, November 25, 2024

Contact us: [email protected]

Serikali kuanzisha program maalum ya magonjwa yasiyoambukiza

Arodia Peter,Dodoma

Serikali iko mbioni kuanzisha program maalum ya magonjwa yasiyoambukiza kama ilivyo kwa magonjwa ya Ukimwi, TB na Marelia kwa kufikisha huduma ngazi ya zahanati.

Katika kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza kwa kuwashauri wananchi kufanya mazoezi angalau mara tatu kwa wiki, kula mlo unaofaa, kutotumia tumbaku na pombe.

Hayo yameelezwa bungeni na Naibu waziri wa Afya, Dk Faustine Ndugulile bungeni leo, Mei 17 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mwantum Dau Haji (CCM).

Katika swali lake, Mwantum alitaka kujua serikali ina mpango gani kushughulikia magonjwa yasiyoambukiza kama vile, presha, kansa na kisukari.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
591,000SubscribersSubscribe

Latest Articles