25.6 C
Dar es Salaam
Sunday, January 5, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Picha| Mameya Dar wafanya ziara Makao Makuu ya NMB

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, akimkabidhi zawadi Meya wa Kigamboni, Ernest Mafimbo, alipotembelea makao makuu ya benki NMB jijini Dar es Salaam. 
Mameya wa Mkoa wa Dar es Salaam walifanya ziara katika ofisi za benki ya NMB kujionea utendaji kazi na jinsi benki inavyotoa huduma kwa wananchi wa Dar es Salaam. Katikati ni Afisa Mkuu wa wateja Wakubwa na Serikali wa NMB, Alfred Shao.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, akimkabidhi zawadi Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge alipotembelea makao makuu ya benki NMB jijini Dar es Salaam. Mameya wa Mkoa wa Dar es Salaam walifanya ziara katika ofisi za benki ya NMB kujionea utendaji kazi na jinsi benki inavyotoa huduma kwa wananchi wa Dar es Salaam.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles