30.5 C
Dar es Salaam
Monday, December 6, 2021

Zlatan afikisha mabao 150

MILAN, Italia

LICHA ya kuwa na umri wa miaka 40, Zlatan Ibrahimovic ameendelea kuthibitisha ubora wake wa kucheka na nyavu na jana alifikisha mabao 150 ya Ligi Kuu ya Italia (Serie A).

Zlatan aliandika historia hiyo alipoingia kambani mara moja na kuiwezesha AC Milan kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya katika ushind ya AS Roma ya kocha ‘mtata’, Jose Mourinho.

Si tu hilo linakuwa bao lake la 150 akiwa Serie A, pia lilikuwa la 400 kwenye mechi za Ligi Kuu zote alizowahi kucheza, zikiwamo La Liga, Ligue 1 na England, alizowahi kutamba kwa nyakati tofauti.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
168,263FollowersFollow
527,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles