27.5 C
Dar es Salaam
Thursday, April 25, 2024

Contact us: [email protected]

ZARI AWAJIBU WANAODAI HAMKUMBUKI IVAN

 

NA CHRISTOPHER MSEKENA

AMEWAJIBU! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz, Zari kutembelea kaburi la aliyekuwa mumewe marehemu Ivan Semwanga ‘Ivan Don’, Kayunga, jijini Kampala, Uganda.

Mrembo huyo ambaye amekuwa akipata wakati mgumu kutoka kwa watu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ambao wamekuwa wakimtuhumu kutomkumbuka mume wake huyo wa zamani, aliyefariki mwezi Mei mwaka huu,  juzi alitumia ukurasa wake wa Instagram kuonyesha kuwa watu huwa wanakosea.

“Watoto waliniomba kuja kusalimia, nikawaambia wasijali, pumzika kwa amani, mapema mno, lakini uko nasi kiroho,” aliandika Zari kwa Kiingereza huku akisindikiza maneno hayo na picha aliyopiga kwenye kaburi la Ivan.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles