23.4 C
Dar es Salaam
Sunday, May 29, 2022

Yanga, Azam kundi moja Mapinduzi

ratibaHUSSEIN OMAR NA KOMBO ALI, ZANZIBAR

KLABU za Yanga na Azam zimepangwa kundi moja kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, ambayo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi visiwani Zanzibar, Januari 2, mwakani katika Uwanja wa Amaan.

Kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa jana, Yanga na Azam wako Kundi B la michuano hiyo pamoja na timu za Mafunzo na Mtibwa Sugar ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

Wakati Kundi A, lina timu za Simba, URA ya Uganda, JKU ya Unguja na Jamhuri ya Pemba kundi ambalo linaonekana kuwa dhaifu zaidi katika michuano hiyo.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
192,712FollowersFollow
542,000SubscribersSubscribe

Latest Articles