23 C
Dar es Salaam
Saturday, April 20, 2024

Contact us: [email protected]

Wiz Khalifa kuachia nyimbo mpya mfululizo

2012 MTV Movie Awards - ShowNEW YORK, MAREKANI

MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Wiz Khalifa, anatarajia kuachia nyimbo zake mpya Januari hii.

Msanii huyo mwezi uliopita aliachia ‘Mixtape’ lakini mwezi huu anatarajia kuachia nyimbo zake kwa mfululizo.

“Hakuna mtu yeyote ambaye anajua nini ninataka kukifanya kwa sasa, ninatarajia kuachia kazi zangu mpya mfululizo ambazo nimezipa jina la ‘Project Khalifa,” alisema Wiz.

Msanii huyo amesema kuwa mwaka huu amejipanga kuachia kazi ambazo zitasumbua kama ilivyo katika wimbo wake wa ‘See You Again’.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles